Mwonekano wa ndani ya ofisi ya Jay-Z

0
50

Willo Perron ni moja wa wabunifu wakubwa sana duniani, na kwa muda mrefu amefanya kazi na wasanii wengi hasa kwenye kubuni mitindo ya majukwaa ya matamasha yao. Wasanii hao ni pamoja na Rihanna, Kanye West, Lady Gaga, Drake, Florence + the Machine, Kendrick Lamar, Travis Scott.

Lakini pia amefanya kazi na kampuni kubwa za kimataifa kama Nike na Samsung, hivyo ni mtu mwenye uzoefu katika ubunifu. Yeye ndiye aliyekuja na mwonekano wa ndani ya makao makuu ya ya Roc Nation ofisi zilizopo Los Angeles, ambayo ni lebo ya muziki ya Jay-Z.

Perron amesema hakutaka ofisi hiyo ionekane kama ofisi ya mambo ya burudiani kwa kuweka samani na vitu vinavyoashiria hivyo, bali alitaka kutengeneza mazingira yatakayoruhusu mazungumzo na ambayo mtu anaweza akakaa na kutafakari au kubuni jambo.

Hapa chini ni baadhi ya picha za mwonekano wa ofisi hiyo:

In the diningmeeting area sinuous banquettes with chairs by Vico Magistretti.
The lounges coffee bar is clad in Calacatta viola marble photographs by Hanna Liden and wallhung sculpture by Moffat...
JayZs office has chairs by Rick Owens and Oscar Niemeyer.
Willo Perron.
Willo Perron
The textures of leather plaster and oak animate the monochromatic palette of a conference room.
Send this to a friend