Nchi 10 za Afrika ambazo watu wake wana furaha zaidi

0
71

Mtandao wa kimataifa ‘Sustainable Development Solutions Network’ umetoa orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani ambako watu wake wameridhika na hali ya maisha yao.

Takwimu hizo zinazingatia mambo ya kiuchumi, kijamii na mazingira, pia inatoa taarifa juu ya kile kinachofanya nchi kuwa mahali pazuri pa kuishi.

Nchi 9 za Afrika zilizotembelewa na watalii wengi zaidi mwaka 2022

Licha ya janga la UVIKO-19 lililoikumba dunia kwa takribani kipindi cha miaka mitatu, barani Afrika Mauritius inasalia kuwa nchi yenye furaha zaidi, pengine ni kwa sababu ya viwango vyake vya mapato ya juu pamoja na huduma zilizoboreshwa nchini humo.

Hizi ni nchi 10 za Afrika ambazo watu wake wana furaha zaidi;

1. Mauritius

2. Libya

3. Ivory Coast

4. Afrika Kusini

5. Gambia

6. Algeria

7. Liberia

8. Congo

9. Morocco

10. Msumbiji

Chanzo: World Happiness Report

Send this to a friend