Barabara ni muhimu sana katika kuleta maendeleoya jamii. Nchi nyingi zinafanya jitihada kubwa kuwekeza katika ujenzi wa barabara kwa sababu barabara nzuri zinasaidia ukuaji wa kiuchumi, kuzalisha ajira, na kuunganisha jamii.
Ripoti ya IMF inaonyesha kuwa baadhi ya nchi za Afrika zinafanya vizuri katika ujenzi wa barabara. Hivyo, IMF wamebuni njia mpya ya kupima ubora wa barabara, kulingana na wastani wa kasi kati ya miji mikubwa kwa kutumia Google Maps.
Nchi 10 za Afrka zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi 2023
Nchi hizi 10 za Afrika zimeonyesha ufanisi katika kuboresha miundombinu ya barabara, na hivyo kusaidia maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
1. Afrika Kusini
2. Namibia
3. Morocco
4. Botswana
5. Libya
6. Algeria
7. Zimbabwe
8. Misri
9. Cˆote d’Ivoire
10. Tunisia