Nchi 10 za Afrika zenye umri wa juu zaidi wa kuishi

0
25

Kulingana na Ripoti ya World Population Prospect ya mwaka 2022 inabainisha kuwa nchini Algeria, mtoto aliyezaliwa anatarajiwa kuishi zaidi ya miaka 77.

Nchi nyingine zilizoshika nafasi za juu ni Cabo Verde, Tunisia, na Mauritius, ambapo wastani wa umri wa kuishi ni miaka 76. Hii inatafsiri kuwa nchi hizi zinafanya jitihada kubwa katika kuboresha hali ya kiafya na ustawi kwa raia wao.

Kupanda kwa umri wa kuishi ni ishara ya maendeleo na mafanikio katika kuboresha huduma za kijamii, na maisha kwa ujumla.

Orodha ya nchi 10 za Afrika zenye viwango vya juu vya watu wasio na makazi

Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye umri wa juu zaidi wa kuishi kulingana na Umoja wa Mataifa;

1. Algeria: Miaka 77
2. Capo Verde: Miaka 76
3. Tunisia: Miaka 76
4. Morocco: Miaka 75
5. Mauritius: Miaka 75
6. Seychelles: Miaka 75
7. Libya: Miaka 73
8. Western Sahara: Miaka 71
9. Misri: Miaka 70
10. Senegal: Miaka 69

Send this to a friend