Nchi 10 zenye hali bora ya chakula barani Afrika

0
54

Ongezeko la bei ya chakula limekuwa changamoto kubwa duniani, likiathiri watu binafsi, jamii na mataifa kwa njia tofauti, sababu zikiwa ni pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa, migogoro, mfumuko wa bei, na mifumo isiyo na ufanisi ya kilimo.

Baadhi ya nchi za Afrika zilipitia changamoto ya chakula mwaka 2023 na kutokana na matatizo ya kiuchumi ndani na nje ya bara hilo, maeneo kadhaa yalikumbana na uhaba wa chakula.

Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa wananchi kujiua

Kulingana na Ripoti ya Usalama wa Chakula ya Benki ya Dunia, sababu kuu za mfumuko wa bei ni pamoja na vikwazo vya biashara vinavyoendelea, gharama kubwa za usafiri, kushuka kwa thamani ya sarafu, ukosefu wa usalama wa raia, na vita vya Ukraine na Urusi.

Hizi ni orodha ya nchi 10 za Kiafrika zenye hali bora ya chakula;

  1. Seychelles
  2. Benin
  3. Somalia
  4. Mali
  5. Burkina Faso
  6. Jamhuri ya Afrika ya Kati
  7. Senegal
  8. Chad
  9. Tanzania
  10. Uganda
Send this to a friend