Ndani ya mwaka sasa kumekuwa na misukosuko kwenye sekta ya nishati duniani. Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi unadaiwa kuchangia kupungua kwa utoaji wa gesi baada ya nchi zilizotegemea gesi asilia ya Urusi kutafuta suluhu mahali pengine na kusababisha athari kimataifa .
Utafiti: Jeshi la Polisi lashika namba 1 kwa rushwa nchini
Athari mbaya imeingia katika uchumi wa Afrika na kusababisha kupanda kwa bei katika bara zima.
Hii ni orodha ya nchi zenye bei ghali ya petroli kwa mwezi Oktoba, 2022 barani Afrika kwa mujibu wa Business Insider Africa.
Jamhuri ya Afrika ya Kati: $2.222 (TZS 5,183.73) kwa lita.
Ushelisheli: $1.903 (TZS 4,439.53) kwa lita.
Uganda: $1.719 (TZS 4,010.27) kwa lita.
Malawi: $1.706 (TZS 3,979.94) kwa lita.
Mauritius: $1.692 (TZS 3,947.28) kwa lita.
Burundi: $1.585 (TZS 3,697.7) kwa lita.
Rwanda: $1.538 (TZS 3,588.02) kwa lita.
Madagaska: $1.400 (TZS 3,266.07) kwa lita.
Guinea: $1.375 (TZS 3,207.75) kwa lita.
Msumbiji: $1.361 (TZS 3,175.09) kwa lita.