Nchi 6 Afrika zinazotarajiwa kuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu 2050
Kulingana na World Population Review, kampuni inayoangazia takwimu ya idadi ya watu, imebaini kuwa Nigeria iko njiani kuwa nchi ya tatu yenye watu wengi zaidi duniani.
Idadi ya watu nchini Nigeria inakadiriwa kuongezeka takribani watu milioni 377-410 ifikapo mwaka 2050, wakati Marekani itakuwa na takribani watu milioni 375-390.
Hizi ni nchi 6 za Afrika zinazotarajiwa kuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu mwaka 2050.
Nchi | Idadi ya watu kwa sasa | Idadi ya watu 2050 |
Nigeria | 218,540,000 | 377,460,000
|
DR Congo | 99,010,000 | 217,490,000
|
Ethiopia
|
123,380,000 | 214,810,000 |
Tanzania
|
61,741,120 | 129,930,000 |
Misri
|
110,990,000 | 160,340,000 |
Niger
|
26,210,000 | 67,040,000 |
Chanzo: Business Insider Africa