Nchi za Kiafrika zenye kiwango cha juu zaidi cha talaka

0
42

Talaka ni utaratibu au mchakato wa kisheria unaoruhusu mume na mke kuachana na kuvunja ndoa yao.

Taratibu za talaka zinaweza kutofautiana kutokana na nchi na nchi, dini na dini na zinaweza kusimamiwa na sheria za kidini, sheria za kiraia au kitamaduni.

Kuvunjika kwa familia ni jambo la kawaida sehemu zote duniani, ikiwa ni pamoja na Afrika. Bara hili mara nyingi hupongezwa kwa kuwa na uhusiano imara wa kifamilia, lakini kwa sasa linapitia mabadiliko katika maisha ya ndoa ambayo yamesababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo utandawazi.

Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa wananchi kujiua

Ingawa takwimu kuhusu talaka barani Afrika ni ndogo, ripoti ya Wisevoter inatoa takwimu za nchi za Kiafrika zenye viwango vya juu vya talaka;

1. Libya
2. Misri
3. Mauritius
4. Algeria
5. Seychelles
6. Sudan
7. Afrika Kusini

Send this to a friend