NECTA yatangaza matokeo kidato cha nne 2020

0
16

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne, kidato cha pili, mtihani wa maarifa (QT) na darasa la nne kwa mwaka 2020.

Matokeo hayo yametangazwa leo na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles E. Msonde.

Kuweza kuona matokeo hayo bonyeza hapa

Send this to a friend