NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne, cha pili, QT na darasa la nne

1
83

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, mtihani wa maarifa, kidato cha pili na darasa la nne.

Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2021

Send this to a friend