Ni wiki ya Carabao Cup yenye Odds kubwa zaidi

0
43

Wiki hii Ligi zitaendelea kwa baadhi ya nchi kama Bundesliga, Serie A, na Laliga huku EPL ikisimama kupisha mashindano ya Carabao Man City Vs Chelsea, Liverpool, Asrenal na Man Utd watakuwa kazini. Odds bomba na kubwa, zipo Meridianbet pekee.

 Ni Bundesliga ligi ngumu yenye ubabe mwingi, itahusisha michezo kadhaa, ni Dortmund atakuwa ugenini dhidi ya Wolfsburg ambao hawa wote wakikutana huwa hapatoshi. Wakati wakiwa na msimu mzuri na rekodi nzuri kwenye Bundesliga Bayern hawatakuwa na kingine cha kufanya kwenye dimba la Allianz Arena Zaidi ya kuzisaka pointi tatu dhidi ya Bremen. Jumanne itahitimishwa na mchezo kati ya Bochum dhidi ya Monchengladbach. Meridianbet wameweka odds kubwa kuliko kawaida.

Napoli akiwa anaongoza Ligi ya Serie A atakuwa na kibarua kingine cha kuhakikisha anashinda ili kujiweka kwenye nafasi nzuri Zaidi, shughuli haikamiliki bila wageni eeh, mgeni wa Napoli atakuwa ni Empoli anayetoka mtaa wa 14 kwenye Serie A. Hawajasahaulika AC Milan wao watakuwa wageni wa Cremonese kwenye mchezo wa raundi ya 14. Beti sasa na Mabingwa.

Robert Lewandowski ataiongoza timu yake ya Barcelona kuzisaka alama tatu wakiwa ugenini dhidi ya Osasuna, huku Real Madrid akicheza na Cadiz, Sevilla atakipiga na Real Sociedad. Beti hapa na Meridianbet.

Jumatano itakuwa ni siku yenye matukio mengi ya soka, nikukumbushe tu, unaweza kutandika jamvi lako la uhakika ukiwa na Meridianbet, Simba SC atakuwa Singida, Yanga SC atakuwa Tunisia kucheza na Club Africain. Kwa USSD ni rahisi kushinda kwa dau dogo sana la TZS 250/= tena unabeti bure kabisa.

Haiishii hapo tu, Man City watawakaribisha Chelsea kwenye dimba lao la Etihad, City iliyotoka kufanya vizuri msimu huu kwa kuingiza faidia ya paundi Mil 41. Rahim Sterling atakutana na waajiri wake wa zamani, Je nani atacheka nan ani atanuna. Jukumu lako ni moja tu cheka na mkeka wako wenye odds bomba na kubwa. Beti hapa.

Arsenal baada ya kutoka kumtungua Chelsea kwenye EPL, sasa wanaamia kwenye Carabo Cup na moto wao au watapunguza makali dhidi ya Brighton, jibu lako kaliweke Meridianbet wana machaguo Zaidi ya 1000.

Liverpool wanakuja halafu kama wanakataa vile, lakini kwa mchezo wao dhidi ya Derby County unaweza ukafumba macho ukawapa dhamana ya furaha yako, lakini pia Derby huenda wakakufurahisha Zaidi. Chaguo ni lako sehemu ni moja tu, Meridianbet nyumba ya mabingwa.

Funga kazi ni pale kwenye dimba la Old Trafford wenyeji Manchester United watavaana na Aston Villa, Utd atakuwa na nafasi ya kujiuliza baada ya kupokea kipigo cha 3-1 kwenye Ligi dhidi ya Aston Villa sasa wanakutana tena kwenye Carabao. Mechi hii na nyingine zina odds kubwa usipime, beti na Meridianbet.

Send this to a friend