NYAKUA FRIJI, MASHINE YA KUFULIA NA SMART TV KUTOKA INFINIX

0
35
                

Dar es Salaam, 16/12/2020-Kampuni ya simu Infinix imezindua rasmi Kampeni ya Christmas na Mwaka mpya inayofahamika kama HIT THE JACPOT BE A WINNER ikiwa na maana jaribu na ushinde ambapo ukinunua Infinix NOTE 8, ZERO 8 na HOT 10 utakuwa umejiweka katika nafasi ya kujishindia zawadi kemkem kama vile Infinix NOTE 8 mpya na (Washing Mashine, Fridge na Smart TV). Je ni vipi unaweza kujishindia zawadi hizi?

Kupitia Facebook
Tembelea maduka ya Infinix nunua simu zilizotajwa hapo juu kisha utapatiwa package yenye zawadi za Infinix ikiwamo na card ya Chrismass, piga picha ukiwa na card hiyo pamoja na slot mashine ambayo inapatikana madukani kwetu, post kwenye account yako ya Facebook na #infinixjackpot.

                  

kupitia Xclub,
Ibuka mshindi kwa kujiunga moja kwa moja kupitia app ya Xclub ambayo ni maalumu kwa watumiaji wa Infinix, chakufanya jiunge na app hiyo kisha unganisha na rafiki zako wawili papo hapo na baada ya kujiunga utaingia kwenye Xstore na kuchagua bidhaa uipendayo kama vile Infinix NOTE 8, ZERO 8 au HOT 10 lakini pia utakuwa umejiweka kwenye nafasi yakuingia kwenye droo kubwa la kushindania Washing Mashine Fridge na Smart TV vyote kwa pamoja.

Kampeni hii itadumu kwa takribani siku 30 kuanzia tarehe 16/12/2020-15/1/2021 ambapo kila wiki Infinix itatangaza washindi ambao wataingia katika droo kubwa itakayochezeshwa tarehe 13/1/2021.
Kwa maelezo zaidi tembelea maduka ya Infinix vilevile tembelea @infinixmobiletz.
KWA MWAWASILIANO;
0744606222

Send this to a friend