Nyimbo 10 za Tanzania zinazotazamwa sana YouTube kuanzia mwezi Februari 2023

0
93

Soko la Muziki wa Tanzania limeendelea kufanya vizuri kutokana na mwitikio wa mashabiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Mitandao imewasaidia wasanii wa Tanzania kufikisha muziki wao sehemu mbalimbali duniani lakini pia kuitangaza nchi kwa ujumla.

Mbali na hilo imechangia kwa kiwango kikubwa pato la wasanii wa Tanzania hasa kupitia mtandao wa YouTube na kuendeleza zaidi kazi zao.

Mbosso aeleza tatizo la moyo linavyoathiri muziki wake

Hizi ni nyimbo zinazotazamwa mara nyingi zaidi katika mtandao wa YouTube zilizotolewa ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuanzia Februari, 2023;

1. Diamond Platnumz – Yatapita (milioni 17)
2. Diamond Platnumz – Zuwena (milioni 13)
3. Rayvanny ft Diamond Platnumz – Nitongoze (milioni 4.2)
4. Ali Kiba- Mahaba (milioni 3.9)
5. Jay melody – Nitasema (milioni 3.4)
6. Harmonize – Single again (milioni 3)
7. Tommy Flavour ft Marioo – Nakuja (milioni 2.7)
8. Zuchu – Napambana (milioni 2.2)
9. Aslay – Inauma (milioni 1.7 )
10. Bruce Africa – You (milioni 1)

Send this to a friend