ODDS kubwa za Meridianbet Mechi za 16 Bora

0
70

Wiki hii ule ukurasa raundi ya mtoano wa 16 bora utafungwa rasmi kwa michezo minne iliyosalia, ni Japan vs Croatia, Brazil vs Korea Kusini, Morocco vs Hispania, Ureno vs Uswizi. Ni mpaka kieleweke mshindi apatikane. Onesha makali yako ya kutabiri ukiwa na Meridianbet.

 Jumatatu Desemba 05 2022

 Baada ya kuwafunga Hispania kwenye mchezo wao wa mwisho kwenye kundi uliowafanya wafuzu hatua hii ya 16 bora, Japan watakutana leo na Croatia ambao ni washindi wa pili wa kombe la dunia kwa mwaka 2018, rekodi za Japan haziringani kiasi hicho na Croatia kwani Japan hajawahi kufika fainali. Kwenye mechi hii machaguo spesho ni ya aina nyingi tazama hapa.

Brazil ikiwa na pigo kubwa la kuowakosa baadhi ya nyota wake kutokana na majeraha kama vile Gabriel Jesus na Alexis Telles, habari njema ni kwamba staa wa Brazil na PSG Neymar Jr ameanza kufanya mazoezi na huenda akawa sehemu ya mchezo wao na Korea Kusini.

Odds za mechi hii Meridianbet ni, watoe sare ina 5.48 na Korea ashinde ina 10.78 hiyo haitoshi machaguo spesho ndio yana odds kubwa Zaidi ukibeti Brazil ashinde baada ya mikwaju ya penati ina odds ya 20.

Jumanne 06 Desemba 2022

Ni wawakilishi wengine wa Afrika lakini pia ni majirani hawa, ni Morocco dhidi ya Hispania, aina ya mpira wao inaendana, mechi hii boli litatembea, nyota wa Chelsea Hakim Ziyech atakuwa na jukumu tena la kuhakikisha Morocco inasalia kwenye kombe la dunia, wakati huo vijana wa Luis Enrique watahitaji ushindi naoi li kuoneshwa umwamba wao kama ule wa mwaka 2010 kule Afrika ya Kusini walipotwaa ndoo mbele ya Uholanzi, Andre Iniesta atabaki kukumbukwa daima.

Nawe una nafasi ya kuacha kumbukumbu pale Meridianbet ya kubeti Zaidi kabla ya michuano hii haijaisha, kwani machaguo spesho yanakufaa, tandika jamvi lako hapa. Morocco akishinda mechi kwa tofauti ya goli moja tu ina odds ya 7.80 wakati huo Hispania ana 3.50

Haitakuwa rahisi kiashi hicho kwa Cristiano Ronaldo kuona Ureno ikiondoshwa kwenye kombe la dunia, Uswizi watapaswa waoneshe ukubwa na ufundi wao kwenye miguu ya kina Bruno Fernandez, Bernado Silva, Joao Felix, Cancelo. Wakati hayo yanaendelea uwanjani, wewe onesha ufundi na uwezo wako wa kubeti na kupatia matokeo halisi pale Meridianbet. Bofya hapa kubeti na kuona machaguo spesho yenye odds kubwa na bomba.

 

 Kama wewe sio mpenzi wa soka unaweza kucheza michezo bomba ya kasino mtandaoni ya Meridianbet kama vile AVIATOR, TITAN ROULETTE, n.k kubwa Zaidi ukicheza Aviator unapata zawadi ya mizunguko ya bure.

 

CHEZA HAPA