Odds za kibabe na Meridian wiki hii

0
48

Ligi mbalimbali  barani ulaya zikiendelea kutimua vumbi wikiendi hii wakali wa kubashiri Mitandaoni Meridianbet wanakupa odds kubwa kwenye michezo yote ambayo itatimua vumbi wikiendi hii, Kuanzia Epl, Serie A, La Liga, Bundesliga na Ligue 1.

 

 Mechi za Jumamosi 18 Febuari

 Klabu ya Arsenal ambayo imetoka kupoteza dhidi ya Man City katikati ya wiki itakwenda kwenye dimba la Villa Park kukabiliana na Aston Villa ambayo ipo chini ya kocha wa zamani wa klabu hiyo Unai Emery mchezo unaotarajiwa kua mkali na wenye mvuto mkubwa. Odds Bomba za mchezo huu unazipata hapa.

Brentford ya kocha Thomas Frank itakua na kibarua kizito katika uwanja wao wa nyumbani wakiwakaribisha klabu ya Crystal Palace ambayo imetoka kusuluhu mchezo uliomalizika dhidi ya Brighton Hove and Albion. Odds kubwa na Bomba za mchezo utazipata kupitia Meridianbet.

Klabu ya Chelsea ambayo haijapata ushindi kwa muda mrefu katika ligi kuu ya Uingereza itakua nyumbani katika dimba lake la Stamford Bridge kuwakaribisha klabu ya Southampton

Ambayo inashika mkia katika ligi hiyo. Unaweza kuchezo michezo ya kasino mitandaoni kupitia Meridianbet na ufurahie michezo kama Poker, Roullete,Sloti.

 

 Klabu ya Manchester City ambayo imepanda kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kuichapa Arsenal klabu ya Arsenal itakua ugenini kucheza na klabu ya Nottingham Forest. Unaweza kubashiri mchezo huu mkali kupitia meridianbet na ukutane na odds kubwa na odds bomba.

 Klabu ya Liverpool ambayo imetoka kushinda mchezo wake dhidi ya Everton itasafiri mpaka jijini London kumenyana klabu ya Newcastle iliyopo kwenye ubora mkubwa kwasasa. Mchezo huu unaweza kubashiri bila bando kwa kupiga *149*10# ukutane na odds bomba au tembelea tovuti yetu https://app.mrdn.co/bashiri01

 

Kunako La Liga klabu ya Real Madrid itasafiri mpaka katika dimba la El Sadar kumenyana na klabu ya Osasuna huku klabu ya Real Madrid ikipambana kupunguza pengo la alama kati yao na vinara wa ligi hiyo klabu ya Barcelona. Unaweza kubashiri mchezo huu kupitia Meridianbet ili uweze kukutana na Odds Bomba.

 

           Jumapili 18 Febuari

 Manchester United watashuka katika dimba lao la Old Trafford ambapo hawajapoteza mchezo kwa muda mrefu uwanjani hapo watawakaribisha Leicester City ambao wametoka kushinda mchezo wao wa mwisho dhidi ya Tottenham. Unaweza kubashiri mchezo huu kupitia meridianbet ili uweze kukutana na odds kubwa na bomba.

 Tottenham watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya West Ham na kujaribu kufuta machozi ya kipigo kizito walichokipata kutoka kwa klabu ya Leicester City wikiendi iliyomalizika. Unaweza kucheza michezo ya kasino mitandanoni na ufurahie michezo kama Poker, Sloti, Roullete.

 

 Vinara wa La liga klabu ya Barcelona watashuka dimbani kuwakaribisha klabu ya Cadiz ambayo imekua ikiwasumbua sana Barcelona. Unaweza kubashiri mchezo huu mkali kupitia meridianbet na ufurahie odds kubwa zilizowekwa kwajili yako.

 Kunako Ligue 1 kutakua na mchezo mkali utakaowakutanisha vinara wa ligi hiyo klabu ya PSG dhidi ya klabu ya Lille katika dimba la Parc de Princes. PSG baada ya kupoteza dhidi ya Bayern Munich watahitaji kurudi kwenye njia ya ushindi. Unaweza kubashiri mchezo huu bila bando kwa kupiga *149*10#

Send this to a friend