ODDS za Leo Meridianbet ziko kama Hivi

0
36

Ni siku nyingine tena ya kushuhudia mbungi ikipigwa kwenye viwanja mbalimbali Qatar, ni mechi za kufunga mwezi Novemba na kuukaribisha mwezi wa Sikukuu Desemba. Jumatano tulivu ya kumtazama Kylian Mbappe, Messi na Robert Lewandowsk,pia ni Alhamis njema kabisa ya kuziona Ubelgiji, Hispania, Ujerumani na Croatia zikitoa burudani ya mocho na roho. Usiwe nyuma burudika ukibeti Meridianbet.

 

Jumatano 30 Novemba 2022

 Unaweza kusema kwamba imeisha kwa Ufaransa ambayo ndio timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora, ila haijaisha kwa Tunisia ambaye anahitaji ushindi ili afuzu, hap ani patamu sana lolote linawezekana kwenye mpira wa miguu. Jambo ni moja nataka nikwambie sehemu salama na rahisi kubeti ni Meridian ambao wanakupa ODDS kubwa kabisa na machaguo special ya kila aina chungulia hapa.

Robert Lewandowsk atakuwa na jukumu la kuibakiza Poland kwenye kombe la dunia pale ambapo watakutana na Argentina ambao hakuna namna wanahitaji ushindi tu ili kufuzu, endapo Argentina atatoa sare na Saudi Arabia akishinda dhidi ya Mexico, itakuwa ni mwisho wa kumuona Messi kwenye michuano hiyo, unadhani Poland vs Argentina itakuaje, Beti na kitochi Meridianbet. Kuona odds kubwa na bomba kutoka machaguo special bofya hapa.

 Machaguo special ya kombe la dunia yatakuwa na machaguo mengi Zaidi kwenye mechi zote, haswa pale ambapo Australia atakipiga na Denmark, unaweza kubeti idadi ya pasi, nani atatoa pasi ya goli, mchezaji gani atatangulia kufunga, kona zitakuwa ngapi kwenye mchezo. Ukiamua kubeti kipindi cha kwanza hakuna kadi yeyote ya njano itakayotolewa kwa timu yeyote, ina ODDS ya 3.52 na kama zitatoka kadi tatu ina 7.09, kufahamu zaidi mchanganuo wa machaguo special bonyeza hapa.

Alhamis 01 Desemba 2022

Ni Alhamis ya kwanza ya mwezi Desemba ni mwisho wa mwaka huu, hii ni siku yenye mechi kubwa kwa sababu inakutanisha miamba yenye rekodi nzuri kombe la dunia, ni Ubelgiji ambao mwaka 2018 waliishia nusu fainali, wanakutana na Croatia waliocheza fainali za WC mwaka 2018 na kupoteza dhidi ya Ufaransa.

Meridianbet wanakupa nafasi ya kuchagua ni timu gani kati ya hizi zitafika nusu fainali au hata fainali na kuchukua kabisa. Ukibeti kama Croatia watakuwa wa miwsho kupata goli ina ODDS ya 2.04 huku Ubelgiji akiwa na 2.03 wakati sare tu ina ODDS ya 10. Hii ni hela kabisa mtu wangu usikubali ikupite. Bonyeza hapa kubeti.

Hispania nao wenye damu changa, watakipiga na Japan ambao wapo moto sana, Hispania huenda wakaiona gemu hii ni daraja la kuwapatia alama 3 muhimu ambazo zitawafanya kuendelea kuwa sehemu salama Zaidi, Unahisi Japan atakubali kuwa daraja la kumpitisha Hispania? Majibu yaweke pale Meridianbet ni rahisi sana bofya hapa utafurahi na roho yako.

Ujerumani wana wakati mgumu sana, lakini timu kubwa hufanya mambo makubwa muda wowote, watashuka dimbani kukipiga na Costa Rica, ili Ujerumani afuzu hatua ya 16 bora atahitaji kushinda na si vinginevyo. Huu mchezo unaupa matokeo gani, meridianbet wana machaguo special ambayo yatakurahisishia kazi yako y kubeti, Tazama hapa, na kama huna bando unaweza kubeti na kitochi ni rahisi piga *149*10#

Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

 CHEZA HAPA

 

 

Send this to a friend