Orodha ya majina ya vijana 3275 waliopata ajira Jeshi la Polisi

0
125

Jeshi la Polisi limetoa majina ya vijana wenye elimu ya shahada, stashahada, astashahada, kidato cha sita na kidato cha nne ambao walifanyiwa usaili na kuchaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania.

Hapa chini ni orodha ya majina hayo. (Muhimu: Inaweza kuchukua muda kufunguka kutokana na ukubwa wa faili hilo).

[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2021/10/TANGAZO-LA-ORODHA-WALIOCHAGULIWA-2021.pdf”]

Au unaweza kupakua majina hayo kwa kubonyeza hapa

 

Send this to a friend