Pesa Zipo Huku Kwenye Kasino ya Mtandaoni na Meridianbet | Expanse Kasino

0
52

Unasubiri nini kujiunga na Meridianbet ili uweze kupiga mkwanja mrefu kwa dau dogo ambalo litakufanya kuwa Milionea ambapo michezo mbalimbali ya kasino inakupa nafasi kubwa ya kuwa bingwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuja na Promosheni kabambe ya Expanse Kasino inatoa TZS 800,000/= kwa dau dogo sana.

 

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

 

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:

 

  • Promosheni ya mashindano ya Expanse – itafanyika katika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.

 

  • Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya www.meridianbet.co.tz

 

  • Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse. Michezo ambayo inahusika wakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

  • Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

 

  • Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino katika viwango vifuatavyo:

 

  • 1. Nafasi ya Kwanza      250,000 TZS
  • 2. Nafasi ya Pili                    200,000 TZS
  • 3. Nafasi ya Tatu                    150,000 TZS
  • 4. Nafasi ya nne                   100,000 TZS
  • 5. Nafasi ya Tano          100,000 TZS

 

  • Ili bonasi ya kasino iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.

 

  • Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.