Picha za matukio mbalimbali ya msiba kutoka nyumbani kwa Hayati Nimrod Mkono, Dar es Salaam

0
65

Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (79), Masaki mkoani Dar es salaam ambako shughuli za msiba zinaendeleo.

Mwili wa Mkono, aliyefariki Aprili 19 mwaka huu akipatiwa matibabu nchini Marekani, umeletwa nchini leo na utaagwa kesho kabla ya kupelekwa Kigori Busengwe, mkoani Mara kwa ajili ya mazishi.

 

Send this to a friend