Picha za matukio ya kuvutia katika maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru

0
63

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania na wageni mbalimbali katika maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Maadhimisho hayo ya kipekee yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam na kuhudhuriwa na marais wa nchi mbalimbali, viongozi wa balozi na taasisi za kitaifa, viongozi wa serikali na taasisi zake na wananchi.

Bila kufuata mpangilio maalum, hapa chini ni mkusanyiko wa baadhi ya picha kutoka kwenye sherehe hiyo.

 

Send this to a friend