Picha za matukio ya maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT

0
60

Picha za matukio mbalimbali ya kilele cha maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yanayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kushiriki maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kushiriki sherehe za miaka 60 ya JKT. 

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda akiwasili Uwanja wa Jamhuri.

Mkuu wa Jeshi la Polisi, (IGP) Camillus Wambura akiwasili Uwanja wa Jamhuri.

Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika sherehe za miaka 60 ya Jeshi hilo.

Wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye maadhimisho Uwanja wa Jamhuri.

 

Send this to a friend