Rais Dkt. Magufuli ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali

0
39

Ikulu, Chamwino.
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Uteuzi huo unaanza leo Novemba 5, 2020.

Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya uteuzi wa kipindi cha kwanza kumalizika leo.

Send this to a friend