Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma

0
56

Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma mkoani Dodoma.

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili wa Jiji la Dodoma.

Bw. Mafuru anachukua nafasi ya Bw. Godwin Kunambi.

Uteuzi wa Bw. Mafuru unaanza leo tarehe 19 Agosti, 2020.

Send this to a friend