Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje

0
45

Rais wa Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Haji alikuwa Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar na anachukua nafasi ya Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi.

Uteuzi wa Dkt. Haji unaanza leo Julai 18, 2020 na anatakiwa kuwepo Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma Julai 20, 2020 saa 4:00 asubuhi.

Send this to a friend