Rais Samia aomboleza kifo cha Jecha 

0
15

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (ZEC), Jecha Salim Jecha.

Kifo cha marehemu Jecha kimetokea leo Julai 18, 2023 katika Hospitali ya Lugalo Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Vile vile Rais Samia ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa (Mwenye Mkuti) ambaye alikuwa kaka yake.

Rais Samia amewaomba wanafamilia wote wawe na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na amewaombea marehemu wote wapumzishwe mahali pema peponi.

Send this to a friend