Rais Samia awatengua viongozi watano

0
35

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za viongozi wafuatao;

1. Reuben Ndiza Mfune, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali;
2. Msongela Nitu Palela, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya
Wilaya ya Musoma mkoani Mara;
3. Michael Augustino Matomora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida;
4. Linno Pius Mwageni, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga
5. Sunday Deogratius Ndori, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe

Send this to a friend