Roman Empire Inakuingizia Hela Meridianbet

0
58

Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici!

 Kama wewe ni moja ya wapenda hadithi za kale basi Veni Vidi Vici inakufaa, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na mtoa huduma Expanse Studios wametambulisha sloti mpya inayokupa ushindi mkubwa mara 1000 ya dau lako.

Ushawishi wa hadithi za Kirumi pia unatambuliwa kwa jina la sloti, lakini mcehzo huu una kitu gani kipya?

Sloti ya Veni Vidi Vici ina Kolamu ambayo inakupa taji la mvinyo, ngao na upanga, mikokoteni, askari wachache, wakati alama ya msingi ya mchezo ni Caesar mwenyewe.

Kadi mbili za porini (Wild) zinakuongoza kwenye mzunguko wa bonasi kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, wakati kadi tatu au zaidi za porini (Wild) zinaamsha Bonasi ya Sloti ya Veni Vidi Vidi.

Kuna msemo mmoja mkubwa wa Gaius Julius Caesar husema ’kete imetupwa’ na katika kasino ya mtandaoni mchezo wa Veni Vidi Vici, Caesar huzungusha kete! Aina hii ya bonasi inakuja katika ngazi tatu, na ya tatu inaweza kukuletea ushindi mpaka mara 1,000 zaidi!

Sloti hii ina bonasi ya ubashiri ambayo inaweza kuongeza kila ushindi mara mbili, pamoja na jackpots tatu zinazoendelea: Mini, Midi na Mega.

Sifa kuu ya sloti hii ni chaguo la BONUS NUNUA (Bonus Buy option), ambalo unaweza kuwezesha Bonasi ya Veni Vidi Vici, na RTP nzuri ya 96.28%!

Dhibiti Ufalme/ Kasri ya Roma na upate mafanikio makubwa!

Send this to a friend