Shinda Mgao Wako wa TZS 3,000,000 Kutoka Meridianbet Kila Unapojisajili

0
43

Shinda Mpaka TZS 1,000,000 na Meridianbet!

Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo mengi. Nafasi yako ya kujishindia mgao wako wa bonasi ya TZS 3,000,000 kutoka hapa nyumba ya Odds bomba.

Jisajili, weka pesa katika akaunti yako na cheza sasa uwe mmoja ya washindi wa mgao wa bonasi wa TZS 3,000,000 kwaajili ya kucheza michezo mbalimbali katika tovuti yetu.

Jisajili kwenye APP au tovuti ya www.meridianbet.co.tz kuanzia tarehe 01.01.2023 mpaka tarehe 20.01.2023, na uweke angalau TZS 5,000 na ubeti michezo mbalimbali na michezo ya kasino ujiwekee nafasi ya kushinda bonasi ya pesa ya TZS 1,000,000

Unavyoweka pesa zaidi, kubeti na kuzungusha – nafasi ya kushinda moja ya zawadi zetu inaongezeka.

Zawadi zitatolewa kama ifuatavyo:

Nafasi ya 1 – TZS 1,000,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 2 – TZS 500,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 3 – TZS 300,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 4 – TZS 200,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 5 mpaka 24 – TZS 50,000 Bonasi ya pesa

Vigezo na Masharti:

  • Promosheni itadumu kuanzia tarehe 01.01.2023 mpaka tarehe 20.01.2023 saa 5:59 usiku
  • Washindi watatangazwa tarehe 21.01.2023
  • Kwa kujisajili na meridianbet.co.tz wateja watakuwa wamekubaliana na vigezo na masharti ya promosheni.
  • Ofa hii ni kwaajili ya mchezaji mmoja au IP adress mmoja pekee.
  • Meridianbet wana haki ya kutotoa zawadi, kusitisha au kubadili sheria za prmosheni wakati wowote.

 

 

 

 

Send this to a friend