Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu leo ameweka wazi mkakati utakaotumia na serikali katika ujenzi wa vyumba vya madarasa 15,000 (12,000 kwa shule za sekondari na 3,000 kwa shule shikizi) ili kuhakikisha watoto wote wanaanza masomo kwa wakati mmoja.
Akitoa taarifa hiyo jijini Dodoma, Waziri Ummy ameeleza idadi ya vyumba vya madarasa ambavyo kila halmashauri itapata, na vigezo vilivyotumika.
Bonyeza kiungio hapa chini kusoma taarifa kamili.
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO -19 KATIKA TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA
Au unaweza kuisoma taarifa hiyo hapa chini;
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2021/10/Mpango-wa-Maendeleo-kwa-Ustawi-wa-Taifa-Tamisemi.pdf” title=”Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa Tamisemi”]