Spotify yatoa orodha ya nyimbo 10 bora za Afrobeats za wakati wote

0
72

Kampuni kubwa ya Spotify imetoa orodha yake ya nyimbo 10 bora za Afrobeats za wakati wote kulingana na idadi ya mitiririko kwenye jukwaa hilo.

Remix ya Rema ya ‘Calm Down’ akiwa na supastaa wa Marekani, Selena Gomez imeongoza ikifuatiwa na ‘Love Nwantiti (Ah Ah Ah) ya CKay, ambayo imeshika nafasi ya pili

Orodha ya nyimbo 10 bora za Afrobeats za wakati wote kulingana na Spotify;

1. Rema – Calm Down (ft Selena Gomez)
2. Ckay – love nwantiti (ah ah ah)
3. Ckay – love nwantiti (Dj Yo ft AX’EL) remix
4. Dave – Location (ft Burna Boy)
5. Rema – Calm Down
6. Wizkid – Essence (ft Tems)
7. Libianca – People
8. Burna Boy – Last Last
9. Fireboy DML – Peru (ft Ed Sheeran)
10. Wizkid – Essence (ft Justin Bieber & Tems)