Taarifa ya TANESCO kuhusu kukosekana huduma ya LUKU

0
72

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewaomba radhi wateja kutokana na hitilafu kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU iliyotokea leo Oktoba 04, 2021 na kusababisha wateja kushindwa kununua umeme.

Sakata la LUKU: Waziri Mkuu awaongezea adhabu wafanyakazi TANESCO

TANESCO imeeleza kuwa wataalamu wametambua tatizo na wanafanya kazi kuhakikisha linakwisha.

Taarifa ya shirika hilo imeeleza kuwa huduma itarejea leo saa 9:00 Alasiri.

Makamba aanza na TANESCO na EWURA

Send this to a friend