Tag: 000
BoT: Noti ya Shilingi 10,000 inaongoza katika matumizi ya fedha taslimu nchini
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), noti ya Shilingi 10,000 ndiyo noti inayotumika zaidi nchini Tanzania, ikichangia ...Serikali: Watu 60,000 wanaambukizwa VVU kila mwaka
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kiwango cha maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi ni watu 60,000 kila mwaka, ambapo vijana wanaopata maambukizi ...Zaidi ya watu 1,000 wamepoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi Myanmar
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha Richter limeikumba Myanmar, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 ...Dar yaongoza kwa idadi ya wanaong’atwa na mbwa
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Arbogast Warioba amesema zaidi ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa ...Watu 10,000 wahofiwa kupotea kutokana na mafuriko nchini Libya
Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu (IFRC) limebainisha kwamba takriban watu 10,000 wanahofiwa kupotea kutokana na mafuriko makubwa nchini Libya. ...Taarifa ya TAMISEMI juu ya namna ya kuomba ajira 21,000 zilizotangazwa
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/04/TANGAZO_LA_AJIRA_-_UALIMU_NA_AFYA_-_TAMISEMI_-APRILI-2023-4.pdf” title=”TANGAZO_LA_AJIRA_-_UALIMU_NA_AFYA_-_TAMISEMI_ APRILI, 2023 (4)”]