Tag: aagiza
Rais aagiza Tume kuchunguza sababu na namna vurugu za Oktoba 29 zilivyodhibitiwa
Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 kuchunguza sababau za vijana kuandamana ...Rais Samia aagiza kuongezwa jitihada za kuokoa waliofunikwa mgodini Shinyanga
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na vyombo vya Usalama kupeleka misaada ya haraka na kuongeza jitihada za ...Makalla aagiza watia nia waliochangishwa fedha Meatu kurudishiwa fedha zao
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameelekeza watia nia wa ubunge na udiwani waliolipishwa fedha ...Waziri aagiza Simba iandikiwe barua viti vilivyong’olewa vilipwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua Simba SC juu ya ...Rais amuagiza Waziri Mkuu kuongeza saa 24 za uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, ...Dkt. Mpango aagiza Magereza kuondoa matumizi ya ndoo kama choo kwa wafungwa
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua ...








