Tag: aagiza
Waziri aagiza Simba iandikiwe barua viti vilivyong’olewa vilipwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua Simba SC juu ya ...Rais amuagiza Waziri Mkuu kuongeza saa 24 za uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, ...Dkt. Mpango aagiza Magereza kuondoa matumizi ya ndoo kama choo kwa wafungwa
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua ...Waziri aagiza polisi kuwakamata viongozi wanaosimamia ujenzi wa kituo cha afya Geita
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vijiji na Kata waliokuwa wakisimamia mradi wa ujenzi wa kituo ...Waziri Mkuu aagiza pesa kukusanywa kwa kutumia mifumo ya kielektroniki
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa masuhuli kwenye Halmashauri zote nchini waweke msisitizo wa kutumia mifumo ya kielektroniki katika makusanyo badala la ...RC aagiza wawili wahojiwe baada ya kushindwa kuthibitisha tuhuma za utekaji
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi ameagiza Polisi wilayani Maswa kuondoka na wananchi wawili waliotoa tuhuma za kuwepo kwa vitendo vya ...