Tag: aagiza
Makonda aagiza barabara itengwe kwa ajili ya maonesho ya biashara kwa wajasiriamali
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa kutenga barabara maalumu katikati ya jiji hilo ...Majaliwa aagiza watumishi wanne wa TRA waondolewe kutokana na dharau
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) cha Mutukula, Feisal Nassoro na wenzake watatu ...Rais Samia aagiza mifumo ya TEHAMA serikalini isomane
Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inayosimamia sera ya TEHAMA kwa kushirikiana na wizara nyingine ...Dkt. Mpango aziagiza Halmashauri kuwasaidia vijana kiuchumi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa vijana nchini kujiepusha na matendo yote yasioendana na maadili ya taifa ili waweze ...DC aagiza kukamatwa wazazi wa watoto ambao hawajafanya mtihani
Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Jamhuri Wiiliam ameagiza kukamatwa kwa wazazi wa wanafunzi 191 ambao hawajafanya mtihani wa kidato cha ...Rais aagiza 40% ya mapato ya halmashauri yaende kwenye maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kutumia asilimia 40 ya mapato yanayokusanywa na halmashauri kuelekezwa katika ...