Tag: ACT Wazalendo
Majibu ya Polisi kuhusu madai ya ACT Wazalendo utata wa kifo cha diwani
Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Chama cha ACT Wazalendo kupitia mitandao ya kijamii kuwa aliyekuwa diwani wa Kata ya Nyamgali, Majaliwa Abbas Hamis, ...Mahakama yatupilia mbali kesi ya Luhaga Mpina
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina pamoja na ACT- ...Msajili wa Vyama vya Siasa abatilisha uteuzi wa Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT ...Suala la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo laibua mapya
Sakata la uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea Urais wa chama cha ACT- Wazalendo limeendelea kushika kasi baada ya Naibu Mwenezi wa ...Mpina na wengine wapendekezwa kugombea urais ACT Wazalendo, Semu ajitoa
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imewapendekeza wanachama wake Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina kuwania kugombea nafasi ya urais wa Tanzania. ...ACT Wazalendo yazitaka nchi za Afrika kuungana na Afrika Kusini kupinga uamuzi wa Marekani
Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa Februari 8, 2025, wa kukata ...








