Tag: adai
Adai kukatwa mkono na mumewe baada ya kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamtafuta Charles Peter mkazi wa Kata ya Mwendakulima, Manispaa ya Kahama mkoani humo kwa tuhuma za kumkata ...Muumini alitaka kanisa kumrudishia zaka zake akidai hana mpango tena wa kwenda Mbinguni
Mwanaume mmoja nchini Nigeria aliyetambulika kwa jina la Chukwudiaso Onyema amelitaka kanisa la Dunamis Church International linalomilikiwa na Mchungaji Dk. Paul Enenche ...Zumaridi adai kuibiwa milioni 19 baada ya polisi kumtoa ndani kwake
Mshtakiwa Diana Bundala (40) maarufu kama Mfalme Zumaridi amedai kuwa wakati anakamatwa na askari katika chumba chake, shilingi milioni 19.5 na simu ...