Tag: Afrika Kusini
Marekani yamfukuza Balozi wa Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ametangaza kuwa Balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool, hatakiwi tena nchini ...Trump atangaza kusitisha misaada Afrika Kusini
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwa Afrika Kusini inataifisha ardhi na kuwatendea vibaya watu wa tabaka fulani, kutokana na hayo, ametangaza ...Serikali kuwapeleka bure mashabiki wa Yanga nchini Afrika Kusini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema italipa gharama zote safari na kujikimu kwa mashabaiki wa Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo ...Washindi 12 wa NMB MastaBata na wenza wao wapaa Afrika Kusini
WASHINDI 12 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu iliyoendeshwa na Benki ya NMB kwa miezi mitatu ‘NMB MastaBata – Halipoi’ ...Thabo Bester na Dkt. Nandipa warejeshwa Afrika Kusini
Tanzania imerejesha Thabo Bester maarufu ‘Mbakaji wa Facebook’ aliyekamatwa jijini Arusha baada ya kutoroka gerezani nchini Afrika Kusini kwa kudanganya kuhusu kifo ...Aliyetoroka gerezani Afrika Kusini akamatwa Tanzania
Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata raia watatu wa Afrika Kusini ambao ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, ...