Tag: afya
Serikali yatoa tahadhari ugonjwa wa Ebola
Wizara ya Afya imewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola ikiwa ni pamoja na kunawa mikono kwa maji safi na ...Serikali yatangaza mlipuko ugonjwa wa Surua. Hizi ni halmashauri zilizoathirika
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa surua katika Halmashauri saba nchini huku watu 38 wakithibitika kuwa na ugonjwa ...Ummy: Wanaorudia vipimo wanaidhoofisha NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa ...Unafahamu kuwa parachichi linaweza kukukinga dhidi ya Saratani?
Tumezoea kutumia parachichi katika chakula au katika ngozi na baadhi ya wanawake hutumia kurutubisha nywele zao. Utafiti uliofanywa na wataalamu mbalimbali unaonesha ...Ummy: Hakuna mgonjwa mpya Homa ya Mgunda
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema toka Julai 18, 2022 hadi asubuhi ya leo, hakuna mgonjwa mpya aliyeonesha dalili za kuwa na ...








