Tag: ahukumiwa
Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi
Mahakama ya Wilaya Kigamboni imemhukumu Paschal Lucas Majandoni (35) kifungo cha miaka 30 jela pamoja na faini ya shilingi milioni moja baada ...Mwalimu Mkuu ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbakaji, kumlawiti mwanafunzi
Mahakama mkoani Mara imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Masahunga, Wilayani Bunda, mkoani humo, Vicent ...Baba aliyeua watoto wake watatu ahukumiwa miaka 150 jela
Mahakama Kuu ya Bomet nchini Kenya imemhukumu kifungo cha miaka 150 jela mwanaume aitwaye Benard Kipkemoi Kirui mwenye umri wa miaka 40 ...Aliyevaa sare za JWTZ ili asikataliwe na mchumba wake ahukumiwa kwenda jela
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na ...Ahukumiwa miaka 30 kwa kumgeuza binti yake mke wake
Michael John Christopher maarufu kama ‘Omoro’ mkazi wa Nyambiti, Ngudu Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa ...Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kupora simu
Mahakama mkoani Lindi imemhukumu miaka 30 jela mkazi wa Kata ya Ndoro, Manispaa ya Lindi, Naibu Ally (20) baada ya kukutwa na ...