Tag: ahukumiwa
Afisa Habari wa KenGold ahukumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kulipa faini ya shilingi milioni 1 au kwenda jela miaka miwili Afisa Habari na Mawasiliano wa ...Rais mstaafu wa Mauritania ahukumiwa miaka 15 jela
Mahakama ya rufaa nchini Mauritania imemhukumu Rais mstaafu, Mohamed Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela na faini ya dola milioni 3 ...Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi
Mahakama ya Wilaya Kigamboni imemhukumu Paschal Lucas Majandoni (35) kifungo cha miaka 30 jela pamoja na faini ya shilingi milioni moja baada ...Mwalimu Mkuu ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbakaji, kumlawiti mwanafunzi
Mahakama mkoani Mara imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Masahunga, Wilayani Bunda, mkoani humo, Vicent ...Baba aliyeua watoto wake watatu ahukumiwa miaka 150 jela
Mahakama Kuu ya Bomet nchini Kenya imemhukumu kifungo cha miaka 150 jela mwanaume aitwaye Benard Kipkemoi Kirui mwenye umri wa miaka 40 ...Aliyevaa sare za JWTZ ili asikataliwe na mchumba wake ahukumiwa kwenda jela
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na ...








