Tag: ajali
Lori lagongana na basi uso kwa uso watu 9 wafariki Dodoma
Watu tisa wamefariki na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria la Babu Trans lililokuwa likitokea Kondoa kuelekea Dodoma kugongana, uso ...Ajali yaua wanne akiwemo Mwenyekiti wa CCM Kilwa
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya ...Wawili wapoteza maisha kwenye ajali akiwemo diwani Shinyanga
Watu wawili wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha bajaji na gari lenye namba za usajili T 5677 DFA aina ya ...Treni ya abiria yapata ajali Kigoma na kujeruhi 70
Treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na ...Dereva wa ajali iliyoua wanafunzi Arusha ashtakiwa kwa kuua bila kukusudia
Lukuman Hemed, dereva wa basi la Shule ya Msingi Ghati Memorial lililosombwa na maji na kuua wanafunzi saba jijini Arusha amepandishwa kizimbani ...Wanafunzi waliofariki katika ajali Arusha wafikia watano
Wanafunzi waliofariki kutokana na ajali ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial ya mkoani Arusha katika mitaa ya Dampo Sinoni, Kata ...







