Tag: ajali
Gari dogo, lori vyagongana na kuua watatu Pwani
Watu watatu wamefariki na wengine wanne wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo kugongana uso kwa uso na lori katika Kijiji cha Mbala ...Dereva asinzia na kusababisha ajali iliyoua watu 6
Watu sita wamefariki dunia hapo hapo na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Runzewe ...Watu 4,060 wamefariki kwa ajali za barabarani nchini tangu mwaka 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ndani ya kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya ajali zilizotokea ...AJALI: Polisi kukagua shule za udereva na namna madereva walivyopata leseni
Katika mkakati wa kupambana na wimbi la ajali nchini, Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limesema limekuja na mkakati wa ...Watu saba wafariki ajalini Geita
Watu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la abiria kampuni ya Sheraton lenye namba za ...Watu 12 wamefariki katika ajali Dodoma
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester ...








