Tag: ajali
Watumishi Tanga wasimamishwa kazi kwa kuchelewa kufika eneo la ajali
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amewasimamisha kazi watumishi wa umma wawili ili kupisha uchunguzi wa sababu za kuchelewa kufika katika ...Watu 17 wafariki ajalini Tanga wakisafirisha maiti
Watu 17 wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Magira Gereza wilayani Korogwe mkoani Tanga majira ...Waziri Mbarawa: Wakati ajali ya ndege inatokea, boti ya uokoaji ilikuwa mbali
Serikali imesema wakati wa ajali ya ndege ya Precision Air boti ya uokozi ilikuwa katika doria kwenye maeneo ambayo ni mbali na ...Mambo 5 yatakayokusaidia kupunguza ajali unapokuwa barabarani
Ajali za barabarani zinaweza kuzuilika endapo kila dereva atafuata sheria na taratibu za udereva. Kujiamini kupitiliza na uzembe wa baadhi ya madereva ...Waliofariki ajali ya ndege ya Precision Air wafikia 19
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air kwenye Ziwa Victori mkoani ...Precision Air yatuma wataalam kufanya uchunguzi wa ajali ya ndege
Uongozi wa Precision Air kupitia Mkurugenzi Mkuu, Patrick Mwanri umesema umetuma watu wao kwenda Bukoba ili kufanya uchunguzi kujua nini chanzo cha ...








