Tag: ajiua
Mume amuua mke na kisha kujiua akidai mke anamsaliti
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limesema mwanamke aitwaye Maria Salavatory ameuawa baada ya kupigwa na kitu butu kichwani na kuchomwa na ...Mume amuua mke na kisha kujiua kwa kisu
Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Ibrahim Shida (24) mkazi wa Kijiji cha Sirorisimba anadaiwa kumuua aliyekuwa mke wake, Tatu Marwa (25) kwa ...Mwanafunzi wa mwaka wa mwisho ajiua baada ya kusimamishwa chuo
Simanzi na huzuni zimetanda katika Chuo Kikuu cha Babcock nchini Nigeria kufuatia kifo cha Joshua Lawson (20), mwanafunzi wa mwaka wa mwisho ...Mwanafunzi ajiua baada ya kuliwa ada ya chuo kwenye kamari
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Federal Polytechnic, Ilaro (FPI) nchini Nigeria amejiua baada ya kutumia ada yake ya chuo na ya mwanafunzi ...Ajiua kwa kunywa sumu akihofia kudaiwa TZS 47,000 za soda
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Bukindu Mhoja (22) Mkazi wa Kijiji cha Bukoli, Kata ya Bukoli mkoani Geita amefariki dunia baada ...Karani ajiua saa chache kabla ya Sensa, aacha ujumbe
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga, mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo, mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele ...








