Tag: akamatwa
Akamatwa kwa tuhuma za kughushi kadi za NIDA
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Consolata Mwasege (47), mfanyabiashara na mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ...Dereva wa basi Mwanza – Morogoro anatumia leseni ya pikipiki; Polisi wamkamata
Dereva wa basi la abiria lenye namba za usajili T 622 EFG linalofanya safari zake mkoani Mwanza kwenda Morogoro anashikiliwa na Jeshi ...Dada wa kazi aliyemjeruhi kooni mtoto wa bosi ashikiliwa na polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Clemensia Mirembe (19) ambaye ni Dada wa kazi za nyumbani kwa kosa ...Mwanamke akamatwa kwa kupeleka maiti benki ili asaini mkopo
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Érika de Souza Vieira Nunes wa nchini Brazil amekamatwa baada ya kupeleka maiti benki, akitumaini kwamba ...Wakili feki aliyeshinda kesi zote akamatwa
Mamlaka nchini Kenya imemkamata wakili feki, Brian Mwenda ambaye amekuwa akijitambulisha kama Wakili wa Mahakama Kuu ya Kenya. Chama cha Wanasheria cha ...Akamatwa kwa tuhuma ya kumuua mumewe kwa rungu akiwa amelala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Aurelia Kalolo (40), mkazi wa Kijiji cha Ukumbi, Wilayani Kilolo, kwa tuhuma za kumuua mume ...