Tag: akamatwa
Akamatwa kwa tuhuma ya kumuua mumewe kwa rungu akiwa amelala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Aurelia Kalolo (40), mkazi wa Kijiji cha Ukumbi, Wilayani Kilolo, kwa tuhuma za kumuua mume ...Lissu akamatwa kwa kufanya mikusanyiko isivyo halali
Jeshi la Polisi limethibitisha kumshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu pamoja na wenzake watatu wa chama ...Daktari feki akamatwa Muhimbili akifanya utapeli
Hospitali ya Taifa Muhimbili imemkamata mkazi wa Mbagala mkoani Dar es Salaam aliyejitambulisha kwa jina la Mussa Mawa akijihusisha na utapeli kwa ...Akamatwa kwa kuwatukana viongozi wakuu wa Serikali mtandaoni
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Selemani Hagayi mkazi wa Kigamboni kwa ...Wakili Madeleka akamatwa Arusha
Wakili wa kujitegemea nchini, Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki baada ya kutoka Mahakama Kuu ...Mwandishi wa habari wa Marekani akamatwa Urusi kwa madai ya ujasusi
Mwandishi wa habari wa Marekani, Evan Gershkovich amekamatwa nchini Urusi kwa shutuma za ujasusi alipokuwa akifanya kazi na jarida la Wall Street ...