Tag: akamatwa
Mwandishi wa habari wa Marekani akamatwa Urusi kwa madai ya ujasusi
Mwandishi wa habari wa Marekani, Evan Gershkovich amekamatwa nchini Urusi kwa shutuma za ujasusi alipokuwa akifanya kazi na jarida la Wall Street ...Mwanamke akamatwa akijaribu kupenyeza bangi kwa mumewe aliyeko gerezani
Mwanamke mmoja nchini Kenya, Caroline Imenza amekamatwa siku ya Jumapili kwa kujaribu kupenyeza bangi kwa mumewe ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa ...Kijana akamatwa kwa tuhuma za kuiba mtoto tangu mwaka 2020
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Masunzu mkazi wa Kibondo mkoani Kigoma amekamatwa mkoani humo kwa tuhuma za kuiba mtoto tangu ...Afisa Upelelezi akamatwa akidaiwa kuwaachia huru watuhumiwa
Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za ...Kizz Daniel akamatwa na Polisi
Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria, Kizz Daniel amekatwa na Polisi kutokana na kutotumbuiza katika tamasha la ‘Summer Amplified’ lililofanyika Jumapili 7, 2022 ...Akamatwa kwa kujaribu kukata sehemu za siri za dereva teksi
Mwanaume mmoja huko Chimoio katikati mwa Msumbiji, anashikiliwa na Polisi baada ya kukiri kujaribu kukata sehemu za siri za dereva wa teksi. ...








