Tag: akiri
Akiri kumuua mume wake na kumzika ndani ya chumba chao
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Martha Japhet (44) mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Mzalendo Kijiji cha Mawemeru, Kata ya Nyarugusu ...Akiri kumuua mkewe kwa kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Chimaguli Samamba (54), mkulima na mkazi wa Ugede- Songambele kwa tuhuma za kumuua mke wake ...Akiri kumbaka mtoto wa miaka mitano, adai ni shetani alimpitia
Mahakama ya wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Nicholaus Paulo Kidoganya (21) mkazi wa Kijiji cha Nyehunge, kifungo cha miaka 30 jela baada ...Mwanamke akiri kuua mtoto wa miaka 12 Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma (12) mkazi wa kwa ...Mwanaume aliyetuma wanaume 50 kumbaka mke wake akiri mashitaka
Mwanaume mmoja nchini Ufaransa anayeshtakiwa kwa kumuwekea dawa za kulevya mke wake na kuwaruhusu wanaume takribani 50 kumdhulumu kingono akiwa amelala katika ...Akiri kutengeneza dawa feki za kulevya na kusafirisha kwenye mabasi mikoani
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) inamshikilia Shaban Adam (54) mkazi wa jijini Dar es Salaam kwa tuhuma ...








