Tag: amchoma kisu
Amchoma mkewe kisu nyumbani kwao baada ya kumkimbia na watoto
Polisi katika kijiji cha Kibaita, Kaunti ya Nandi nchini Nairobi, wanachunguza tukio la kusikitisha ambapo mwanaume aliyefahamika kwa jina la Hanise Juma ...Amchoma kisu aliyekuwa mkewe pamoja na mpenzi wake mpya
Maafisa wa Polisi katika Kijiji cha Muguga, Kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamemkamata mwanamume mwenye umri wa miaka 43 ambaye inasemekana alivamia ...Kamanda: Mwalimu alimchoma kisu mwalimu mwenzake mbele ya wanafunzi darasani
Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka wilayani Geita, Emmanuel Chacha (35) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake, Samwel Subi ...